United Republic of Tanzania
Parliament of Tanzania
19th Jan 2023
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson amekutana na kufanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Wananchi wa India Shri Om Birla, huku jambo kubwa likiwa kuendeleza ushirikiano kwenye sekta mbalimbali ikiwemo ya afya.
19th Jan 2023
​Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Dkt.Tulia Ackson(Mb) na mgeni wake Spika wa Bunge la wananchi India (Lok Sabha) Mhe. Om Birla wametembelea ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) Jijini Dar-es-salaam leo tarehe 19 Januari 2023
17th Jan 2023
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo katika kikao na Watendaji wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Jijini Dodoma