Parliament of Tanzania

Hon. Dr. Tulia Ackson

Speaker

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Ms. Nenelwa J. Mwihambi

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

Katibu wa Bunge Ndg. Nenelwa Mwihambi ndc amewasilisha kwenye kamati ya Bajeti Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Mfuko wa Bunge kwa mwaka 2023/24 Fungu 42 ukumbi wa Msekwa Bungeni Dodoma Katibu wa Bunge Ndg. Nenelwa Mwihambi ndc amewasilisha kwenye kamati ya Bajeti Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Mfuko wa Bunge kwa mwaka 2023/24 Fungu 42 ukumbi wa Msekwa Bungeni Dodoma Kamati ya Uongozi imekaa kikao cha Mashauriano na Kamati ya Bajeti kuhusu mambo muhimu ya kibajeti. Kikao hicho kilihudhuriwa na viongozi wa Serikali kupokea hoja za kamati tarehe 29 Machi 2023 Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na usalama wamepokea na kujadili Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2022/23 Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini wapokea taarifa ya Utekelezaji wa Wizara na Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Madini leo tarehe  28 Machi 2023 katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na utalii yajadili taarifa ya utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa mwaka wa fedha 2022/2023 Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini wamepokea na kujadili utekelezaji wa Wizara ya Nishati na Mashirika yaliyo chini yake tarehe 23 Machi 2023 Wajumbe wa Kamati ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii wakiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa Chuo cha Ustawi wa Jamii Kisaranga kilichopo Mwanga Mkoani Kilimanjaro wakati walipotembelea chuo hicho Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini wakiwa katika picha ya pamoja kwenye jiwe la msingi mara baada ya kukagua ujenzi wa Bomba la kusafirisha Mafuta Ghafi-Chongoleni Tanga Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Tanga (katikati) Mhe. Waziri W. Kindamba ofisini kwake tarehe 16 Machi 2023

Kamati Ya Nishati Na Madini Yafanya Ziara Gst

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini yapongeza Serikali kwa kuwapatia vifaa vya kisasa GST kwaajili ya kufanya utafiti wa madini nchini.

Mapendekezo Ya Mpango Na Kiwango Cha Ukomo Wa Ba ...

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba akiwasilisha Mapendekezo ...

Bunge Laahirishwa Hadi Aprili 4, 2023

Waziri Mkuu, Mheshimiwa Kassim Majaliwa akitoa hotuba ya kuahirisha Mkutano wa K ...

Uteuzi Wa Wajumbe Wa Kamati Za Kudumu Za Bunge

Uteuzi wa Wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge

View All News From Bunge

Details Stage Options
Click Here for More Bills & Legislation
The Written Laws (Miscellaneous Amendments) Act, 2023 First reading Download
Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Ubia Baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi wa Mwaka 2023 First reading Download
The Written Laws (Financial Provisions) (Amendment) Bill 2022, Passed Download
Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi wa Mwaka 2022 Passed Download
Muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote wa Mwaka 2022 First reading Download
Details Options
Click Here for More What's On
MAPENDEKEZO YA SERIKALI YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2023/24 Download
TAARIFA YA MAPENDEKEZO YA MFUMO NA UKOMO WA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2023/24 Download
MAELEZO YA MHESHIMIWA DKT. MWIGULU LAMECK NCHEMBA MADELU (MB), WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, AKIWASILISHA MAPENDEKEZO YA SERIKALI YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2023/24 NA MFUMO NA UKOMO WA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2023/24 Download
HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAKATI AKIAHIRISHA MKUTANO WA KUMI WA BUNGE LA 12 LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, TAREHE 10 FEBRUARI, 2023 JIJINI DODOMA Download
Uteuzi wa Wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge Download

Education And Outreach

EDUCATION

Quick Links