Parliament of Tanzania

News & Events

07th Nov 2016

Marehemu Samuel John Sitta enzi za uhai wake akiongoza kikao cha Bunge akiwa Spika wa Bunge la Tisa (2005-2010).

06th Nov 2016

Waheshimiwa Wabunge wakifuatilia Semina kuhusu Mkataba wa Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki na Jumuiya ya Ulaya (EPA).

01st Nov 2016

Mwenyekiti wa Bunge Mhe Najma Giga (Mb) akiingia katika Ukumbi wa Bunge kwa ajili ya kuongoza Kikao cha kwanza cha Mkutano wa Tano wa Bunge la Kumi na Moja

31st Oct 2016

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Waandishi wa Habari Mjini Dodoma kuhusu kuanza kwa Mkutano wa Tano wa Bunge

27th Oct 2016

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dkt. Adelhelm Meru akitoa maelezo mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira Mjini Dodoma.

Hon. Job Y. Ndugai

Speaker of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Dr. Thomas D. Kashililah

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

View All MP's