Parliament of Tanzania

News & Events

16th Nov 2016

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akifafanua jambo mbele ya Wadau wa Maendeleo kutoka Nchi za Nordic uliomtembelea Ofisini kwake Dodoma kujionea utekelezaji wa Mradi wa Legislature Support Project II.

12th Nov 2016

Jeneza lilobeba mwili wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa Marehemu Samuel John Sitta likitumbukizwa kaburini wakati wa mazishi yaliofanyika Urambo, Tabora.

11th Nov 2016

MAREHEMU HAFIDH ALI TAHIR ALIYEKUWA MBUNGE WA DIMANI MJINI MAGHARIBI, ZANZIBAR.

10th Nov 2016

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai akisaini Kitabu cha Maombolezo cha Msiba wa Spika Mstaafu wa Bunge la Tisa Marehemu Samuel Sitta Bungeni Mjini Dodoma

08th Nov 2016

Marehemu Spika Mstaafu Samuel John Sitta enzi za uhai wake akiwa Spika wa Bunge la Tisa (2005-2010).

Hon. Job Y. Ndugai

Speaker of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Dr. Thomas D. Kashililah

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

Member of the Parliament

View All MP's