Parliament of Tanzania

News & Events

24th Aug 2017

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akipokea mwaliko wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa kujiunga na Umoja wa Mabunge ya Africa (African Parliamentary Union) kutoka kwa Rais wa Umoja huo ambaye pia ni Spika wa Bunge la Guine-Bissau Mheshimiwa Cipriano Cassama Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam anayeshuhudia kushoto ni Katibu Mkuu wa Umoja huo Mheshimiwa. N’ZI Koffi.

03rd Aug 2017

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Spika wa Bunge la Umoja wa Falme za Kiarabu, Mhe. Dkt. Amal Al Qubaisi baada ya kutembelea Bunge hilo na kuzungumza naye.

27th Jul 2017

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akipongezwa na Naibu Spika wa Cameroon, Mhe. Monjowa Lifaka baada ya kushinda nafasi ya Mwenyekiti wa Maspika na Viongozi wa Bunge katika Umoja wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Barani Afrika.

14th Jul 2017

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Rais Mstaafu wa Ireland ambae pia ni Mjumbe wa “The Elders” Taasisi inayoshughulika na masuala ya Amani, Haki za Binadamu na Huduma za Afya, Mhe. Mary Robinson alipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma. Katikati ni Mama Graca Machel.

05th Jul 2017

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza Bungeni

Hon. Job Y. Ndugai

Speaker of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Mr. Stephen Kagaigai

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

View All MP's