Parliament of Tanzania

News & Events

27th Mar 2017

Mratibu wa kitivo cha Ufuatiliaji wa kaboni cha Taifa kutoka Chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo (SUA), Prof. Maliondo S. Maliondo (kushoto) akizungumza na Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) pale kamati hiyo ilipotembelea Chuoni hapo

24th Mar 2017

Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Manispaa ya Morogoro(MORUWASA) Ndg. Nicholaus Angumbwike akizungumza na Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) pale kamati hiyo ilipofanya ziara ya kutembelea Bwawa la Mindu lililopo nje kidogo ya Mkoa wa Morogoro.

24th Mar 2017

Wajumbe wa kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) ilipofanya ukaguzi wa miradi ya ujenzi wa nyumba za Watumishi zilizopo iliyopo Wilayani Gairo Mkoani Morogoro.

20th Mar 2017

Spika wa Bunge akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi Mjini Dodoma

27th Feb 2017

Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji ya Skauti Tanzania Balozi Nicholas Kuhanga akimueleza jambo Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai wakati walipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.

Hon. Job Y. Ndugai

Speaker of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Dr. Thomas D. Kashililah

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

View All MP's