United Republic of Tanzania
Parliament of Tanzania
07th Nov 2017
Waheshimiwa Wabunge wakiimba Wimbo wa Taifa kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Tisa wa Bunge Mjini Dodoma
24th Oct 2017
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mheshimiwa Naghenjwa Kaboyoka. Kamati zote za Bunge zimeanza kukutana Mjini Dodoma