Parliament of Tanzania

News & Events

14th Jun 2019

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip I. Mpango (Mb), akiingia Bungeni kuwasilisha Mapendekezo ya serikali kuhusu makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2019/20

10th Jun 2019

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimlaki Spika wa Bunge la Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille alipowasili katika Jijini Dodoma tayari kwa ajili ya ziara ya siku tatu ya kutembelea Bunge la Tanzania

04th Jun 2019

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza Bungeni ambapo amewahamasisha Waheshimiwa Wabunge kwenda AFCON kuipa hamasa Timu ya Taifa

20th May 2019

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Waheshimiwa Wabunge wakati wa futari aliyowaandalia katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.

13th May 2019

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisajili laini yake ya simu ya mkononi kwa alama za vidole wakati akizindua zoezi hilo katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma

Hon. Job Y. Ndugai

Speaker of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Mr. Stephen Kagaigai

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

View All MP's