Parliament of Tanzania

Hotuba ya Mheshimiwa Kassim M. Majaliwa (Mb.), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati wa kuahirisha Mkutano wa Kumi wa Bunge La Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tarehe 9 Februari, 2018

UTANGULIZI

Shukrani

Mheshimiwa Naibu Spika, awali ya yote, naomba nitumie fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa fadhila na rehema kwa kutujaalia afya njema hadi leo hii tunapohitimisha Mkutano wa Kumi wa Bunge lako Tukufu ambao umetuweka mjini Dodoma kwa takriban wiki mbili.

Hon. Dr. Tulia Ackson

Speaker

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Ms. Nenelwa J. Mwihambi

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

View All MP's