Parliament of Tanzania

Hon. Job Y. Ndugai

Speaker of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Mr. Stephen Kagaigai

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na viongozi wa Taasisi  ya Kimataifa ya Kidemokrasia (NDI), katikati ni Mkurugenzi wa Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Dkt. Keith Jennings na wa mwisho ni Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi hiyo Ndg. Sandiy Qui Wajumbe wa Bodi ya Mradi wa kulijengea Bunge uwezo (LSP) ambao unafadhiliwa na Shirika la Maendeleo Dunia (UNDP) katika kikao cha Bodi hiyo Jijini Dar es Salaam Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Sweden, Dkt. Willibrod Slaa wakati Balozi huyo alipomtembelea nyumbani kwake Jijini Dodoma. Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati)  katika picha pamoja na wakimbiza mwenge wa uhuru katika tukio la kuzima mwenge kitaifa uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga Mwenyekiti  kamati ya kudumu ya Bunge ya masuala ya Ukimwi, Mhe. Oscar Mukasa akiongoza kikao cha pamoja baina ya Wajumbe wa kamati hiyo na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoo... Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoo, Dkt. Faustine Ndugulile akitoa ufafanuzi  mbele ya Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya masuala ya Ukimwi katika majadiliano ya taarifa ya Wizara hiyo

Mkutano wa Kumi na Mbili wa Bunge waanza Jijini Dodoma

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akisoma Dua kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Kumi na Mbili wa Bunge

Kamati za kudumu za Bunge zaanza kukutana Jijini D ...

Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria Ndogo katika majadilian ...

Bunge laahirishwa hadi Septemba 4, 2018

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuahirisha Mkutano wa 11 wa Bung ...

Mapendekezo ya Serikali kuhusu Makadirio ya Mapato ...

Mapendekezo ya Serikali kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka 2018-19

View All News From Bunge

Details Stage Options
Click Here for More Bills & Legislation
2018 [The Dodoma Capital City (Declaration) Bill, 2018 Passed Download
The Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No. 3) Bill, 2018 Passed Download
The Teacher’s Professional Board Bill, 2018 Passed Download
The Public Private Partnership (Amendment) Bill, 2018 Passed Download
The Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No. 2) Bill, 2018 Passed Download
Details Options
Click Here for More What's On
Mwongozo wa Kamati katika Uridhiwaji wa Mikataba ya Kimataifa Download
Mwongo wa Ziara za Kamati za Bunge Download
Mwongo wa Ziara za Kamati za Bunge Download
Mwongozo wa Uhusishwaji wa Asasi za Kiraia (AZAKI) katika Shughuli za Kamati za Bunge Download
Mwongozo wa Kusikiliza Maoni ya Wadau Download

Education And Outreach

EDUCATION