Parliament of Tanzania

Hon. Job Y. Ndugai

Speaker of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Mr. Stephen Kagaigai

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi kilichokutana kufanya mabadiliko madogo ya Ratiba ya Mkutano wa Tisa wa Bunge Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Balozi wa Norway nchini, Bi. Hanne – Marie Kaarstad (katikati) pamoja na Msaidizi wake ofisini kwake Mjini Dodoma. Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Balozi mpya wa China nchini, Balozi Wang ke (wa pili kushoto), Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (wa pili kulia) ofisini kwake Mjini Dodoma. Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza na Waheshimiwa Wabunge  walioshiriki mafunzo ya kuwajengea uwezo wa utendaji wao wa kazi nchini China.  Mhe Janet Masaburi aliyeteuliwa na Rais hivi karibuni kuwa Mbunge akila kiapo cha Uaminifu Bungeni Mjini Dodoma. Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu shughuli zitakazofanyika katika Mkutano wa tisa (9) wa Bunge la Kumi na Moja

Bunge laahirishwa hadi Januari 30, 2018

Waheshimiwa Wabunge wakiimba Wimbo wa Taifa kabla ya Bunge kuahirishwa hadi tarehe 30 Januari, 2018

WARAKA WA SPIKA NA. 5/2017 KUHUSU KUUNDWA KWA KAMA ...

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza Bungeni Mjini Dodoma

WARAKA WA SPIKA NA. 6/2017 KUHUSU KUUNDWA KWA KAMA ...

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza Bungeni Mjini Dodoma

TAARIFA FUPI KUHUSU SHAURI LA KUVUNJA HAKI NA KING ...

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza Bungeni

View All News From Bunge

Details Stage Options
Click Here for More Bills & Legislation
The Written Laws (Miscelleneous Amendments) (No. 5) Bill, 2017 First reading Download
The Public Service Security Fund, Bill, 2017 First reading Download
[The Wildlife Conservation (Amendment) Bill, 2017 First reading Download
The Drugs Control and Enforcement (Amendment) Bill, 2017 Passed Download
The Tanzania Telecommnications Corporation Bill, 2017 Passed Download
Details Options
Click Here for More What's On
Hotuba ya Mhe. Kassim M. Majaliwa ( Mb.), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akihitimisha Mkutano wa Tisa wa Bunge la Kumi na Moja tarehe 17 November, 2017. Download
The Finance Bill, 2017. Download
Maoni ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kuhusu Hali ya Uchumi wa Taifa, Mpango wa Maendeleo wa Taifa na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2017/18 Download
Taarifa ya Kamati ya Bunge ya Bajeti kuhusu Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2016, Mpango wa Maendeleo wa Taifa mwaka 2017/18, Tathmini ya Utekelezaji wa Bajeti ya Serikali na Mapendekezo ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka 2017/18. Download
Mapendekezo ya Serikali kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka 2017/18. Download

Education And Outreach

EDUCATION